Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Punguza spidi...70K iko around the kona
[emoji23]Mkuu nenda kaoge sisi tunakusubiria
[emoji106]Tuanze kumvuta shululu aingie pale
BaelezeeJimena kumbuka mtaka vyote, hukosa vyote!!
70k anaitaka [emoji485][emoji485][emoji485]anaitaka piaAtaikosa 70 k eee
Hebu chunguli tena kuleHapa kwenye 70k leo tuko wote macho kodo [emoji102]
Sasa tutajua ni nan mwenye bahati leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji6]Bahati ni yangu
Msisahu[emoji106]Tieni like jamani, naona watu wote macho kodo kwenye 70K
Kaoge tu bana, hivi utajiskiaje huogi na 70k huipati [emoji2][emoji2][emoji2]70k inanukia... yani nashindwa hata kwenda kuoga nikihofia kuwa ntaikosa!
Yani nakomaaa hapa hapa mpk kieleweke
Naanza vurugu mpka niipate 70kKaoge tu bana, hivi utajiskiaje huogi na 70k huipati [emoji2][emoji2][emoji2]
hahaha...atajutaKaoge tu bana, hivi utajiskiaje huogi na 70k huipati [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23]Msisahu[emoji106]
K stands for Kilazer