Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Pole ndugu, inabidi ukimbie mtaa sasa mana hakuna namnaJioni njema,hatuna umeme tangu asubuhi na simu inazima sasa
70k inanukia... yani nashindwa hata kwenda kuoga nikihofia kuwa ntaikosa!70K haikuhusu...pole mkuu
Shululu naye ajongee fastaTunatakiwa tuingize Makapuku wawili pale
Mkuu hii haifai miongoni mwetu hebu futa, utani uwe na mipaka NAKUOMBAnitakuzingua..!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shululu anatakiwa akaze ili tuwaondoe wote top 20 tubaki sisi wana KF tuHongera sana, watatukoma, vimebaki vitendo maneno baaathiii
Hahaha uko makini nilifikiri nitakuuza...big brainTatizo sio![]()
Tatizo ni 70k

Apambane amtoe the bossShululu naye ajongee fasta
Mkuu nenda kaoge sisi tunakusubiria70k inanukia... yani nashindwa hata kwenda kuoga nikihofia kuwa ntaikosa!
Yani nakomaaa hapa hapa mpk kieleweke
Amekacha mapema, adai fidia tanzasco70K haikuhusu...pole mkuu
teh teh tehTatizo sio![]()
Tatizo ni 70k
Tuanze kumvuta shululu aingie paleTunatakiwa tuingize Makapuku wawili pale
Hapa kwenye 70k leo tuko wote macho kodoKwani shs ngapi?

Bahati ni yanguHapa kwenye 70k leo tuko wote macho kodo![]()
Sasa tutajua ni nan mwenye bahati leo
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu ukafute picha ya kidole cha kati haifai pliz70k inanukia... yani nashindwa hata kwenda kuoga nikihofia kuwa ntaikosa!
Yani nakomaaa hapa hapa mpk kieleweke
Ataikosa 70 k eeeJimena kumbuka mtaka vyote, hukosa vyote!!
Huyu keshazama shululu aongeze bidiiApambane amtoe the boss