Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kushinda visa vya makudwi.....usishangae huyo ni mkongwe ila Id ya kuzuga
Hii nayo kali
............
Kushinda visa vya makudwi.....usishangae huyo ni mkongwe ila Id ya kuzuga
Hii nayo kali
Labda kwanza inabidi kutengeneza watoto kisha ukiwapeleka ndo nawewe unafaidi
Kunawafaa zaidi watoto sio, hawaruhusu wakubwa tuliochelewa??
Watazama tuuuHao![]()
![]()
wote ni wafa maji hawaishi kutapatapa
Kabisa, mi ntapiga tiktakItakua gombania goli, piga nikupige
Kama ni hivyo sawa, hapo mainspector walipata tabu sanaLabda alipitia depo ya kutembea na inspector
![]()
![]()
![]()
Wapi wiiPande hizi fresh tu
Hao ni Nazi....wangekuwa na aKili wangeungana.....kwa style hii tunaendelea kupetaHao![]()
![]()
wote ni wafa maji hawaishi kutapatapa
Ni sheeeeederTena hyo lips pamoja na hayo macho.. lol!![]()
Poa kaka nice timePande hizi fresh tu
Dah mambo mengine tunayatamani sana utotoni tunakosa hiyo access na ukubwani tuna uwezo nayo lakin ndo mda ushatuacha ivoLabda kwanza inabidi kutengeneza watoto kisha ukiwapeleka ndo nawewe unafaudi
Vp mkuuPoa kaka nice time
Huyo lazima ni mkongwe mzoefu ndani ya new IdKushinda visa vya makudwi.....usishangae huyo ni mkongwe ila Id ya kuzuga
![]()
![]()
![]()
![]()
............



Nmeenda kuwachungulia kumbe ni hawa watt wa 1998 ndo wanapigania uhuru wao.Kuwapotezea ndo safi, maana ukipost itapanda juu na kupata posts zaidi na viewer wataongezeka
Safi tu mkuu, umemfurahisha sana Jimena umepiga sala yako ya jioni ukawa ndo ushamaliza mpaka jumapiliVp mkuu

Jua limeshazamaDah mambo mengine tunayatamani sana utotoni tunakosa hiyo access na ukubwani tuna uwezo nayo lakin ndo mda ushatuacha ivo

Hata nmeanza kuhisi hiloKushinda visa vya makudwi.....usishangae huyo ni mkongwe ila Id ya kuzuga
![]()
![]()
![]()
![]()
............
JF ina mambo sanaHuyo lazima ni mkongwe mzoefu ndani ya new Id![]()
Jeshi la Kenya hiloKama ni hivyo sawa, hapo mainspector walipata tabu sana
Mutoto kwa Odinga hiyoNi sheeeeeder
Kama nakuona vile na kipensi chako tayari kabisa unaisubiri kona kujaza majalo, mipira ya juu ya vichwa unaiweza lakin?Kabisa, mi ntapiga tiktak



