Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Itabidi nijiandae mapemaPoa poa
Kesho utatupa mambo
Itabidi nijiandae mapemaPoa poa
Kesho utatupa mambo
Nimeshaona usijaliDadake nimeomba radhi hapo juu kuwa nimetingwa sana ndo nimeingia home 30 min zimepita
Na kwako piaNawatakieni usiku mwema makapuku family
Hahahaaa nimeona wakongwe forum ni kituko, jeshi la mtu mmoja, anapost tuuu anataka afikir 100kNimeshaona usijali
Halafu Leo kuna mengi chitchat
Makabwela forum
Wakongwe forum
Hiyo inadhihirisha kuwa makapuku forum ni homa ya dengue ama nene![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sisi kimyaaaaa
Sio dengue pekee, pamoja na kifafa, mwishowe watazamaNimeshaona usijali
Halafu Leo kuna mengi chitchat
Makabwela forum
Wakongwe forum
Hiyo inadhihirisha kuwa makapuku forum ni homa ya dengue ama nene![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sisi kimyaaaaa
Same hereNdio kwasasa iko poa kabisa, ila siku chache zilizopita haikuwa sawa, kwasasa changamoto ni notification..... Kuna wakati napata kuna wakati sipati
Usijali sana kaka kesho nayo ni siku... Kwema lakin?Mniwie radhi nimeshindwa kutimiza wajibu wangu, nimekuwa busy sana, ndo narejea home sasa
Nashukuru kwa uelewa huoUsijali sana kaka kesho nayo ni siku... Kwema lakin?
Duu sio mchezoSame here
Ni sheederHahahaaa nimeona wakongwe forum ni kituko, jeshi la mtu mmoja, anapost tuuu anataka afikir 100k
Afadhali tutakuwa wengi kidogo.Mi bado nipo nipo kidogo
Sio dengue pekee, pamoja na kifafa, mwishowe watazama
Akupe jibu maandalizi yaanze dadake
Nilikua nakusubiria wewe tu uwe tayari, utakua tayari lini nifanye maandalizi mana linapokuja suala lako najikuta niko flexible tu.. any time soon wanguSasa safari ya mbugani lini? Maana hamna namna sasa
Hawawezi kufika hata 1/8 ya posts za kf, jukwaa letu limeboreka sana, na bado litaendelea kuboreka zaidi...mchana niingia kidogo nilifurahi kwani kila post ilikuwa ni quote yenye ujumbe mzito, hii ni dalili ya watu kuperezi ili kupata cha kuleta kf.Ni sheeder
Mwezi ujao mkuuNilikua nakusubiria wewe tu uwe tayari, utakua tayari lini nifanye maandalizi mana linapokuja suala lako najikuta niko flexible tu.. any time soon wangu
Hahah, yeye hajajicheki kiooni?
Hapa ni nondo tupuHawawezi kufika hata 1/8 ya posts za kf, jukwaa letu limeboreka sana, na bado litaendelea kuboreka zaidi...mchana niingia kidogo nilifurahi kwani kila post ilikuwa ni quote yenye ujumbe mzito, hii ni dalili ya watu kuperezi ili kupata cha kuleta kf.