Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee, we bitoz ni noma sanaaa
Nmechunguza nmegundua aina ya uandishi wake ni ule ule na kwenye upande wa siasa yuko kile kile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli unafaa kuwa CIA
Tuwapotezee cha msingi tufanye yetu
HATUPUNGUKIWI KITU NA HAWATAWEZA KUTUFIKIA HATA LIST YA LIKES LABDA WAWATOE MABOYA KM KICHUMVI & NGEDERE TU WASHACHELEWA SISI TUPO KIBAHA
..................................
 
55367da0b01771ea3ca8ad5376798284.jpg

Mbona yake imemshinda
............
Tisha sana
 
Wale makapuku ambao mtakuwa mmeanza kucolify na kuuacha ukapuku mnakaribishwa sasa kwa wakongwe<br />The Name,<br />Bitoz and alike, ukapuku waachieni wengine...nyie mmesha quality sasa

[emoji121] naona jamaa anakutaja kule kwa wakongwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siendi kuwapa kick
.................
 
Back
Top Bottom