Hahahaaa....
Maneno kuntu.
Hii inawahusu sana Washakunaku au wanshankupe.![]()
Very true
.............
Ama kweli...
duuh hiz kumbukumbu mujarabu kwelkwelLeo katika Historia:
1960 - Jane Goodall anawasili katika hifadhi ya Gombe nchini Tanzania kufanya utafiti wake maarufu kuhusu Sokwe na maisha yao msituni.
ya huku kwetu kusadikika sijui lini!!Leo katika Historia:
1958 - Mapinduzi ya Iraq yanafanyika na Abd Al-Karim Qasim anakuwa kiongozi wa kwanza wa Taifa hilo baada ya mapinduzi hayo.
tehtehWhere is she going?
![]()
zali la mentali hilo,miaka hii sahau haliwez tokeaLeo katika Historia:
1913 - Gerald Ford anazaliwa. Ni Rais wa 38 wa Marekani.
Ford anabakia kuwa Rais pekee wa Nchi hiyo kushika nyadhifa ya Makamu wa Rais baadae Nyadhifa ya Urais bila kuchaguliwa kwa kura.
Alishika nyadhifa hizo kwa wakti tofauti kutokana na viongozi hao kujiuzulu.
nini tatizo na kwani?