JAMANI NINA OMBI LANGU KIDOGO..
najua mmeshanizoea kwa mbwembwe Gif,photo,utani na mikwara mingi..
Sasa nmeona kama hamtajali niwe nawaletea pia Hadithi hapa.. kwa siku angalau niwe ninaleta episode 5 mpaka pale hadithi itakapoisha na kuanza hadithi nyingine.
Dhumuni la kuamua au kufikiria kufanya hivi ni kutaka jukwaa letu lichangamke na kuongeza pia vionjo.
Je mtapenda nianze na hadithi za namna gani?
Makundi ya hadithi;
Za mapenzi
Za upelelezi
Vichekesho
Za kichawi
NB:mbwembwe, utani, Gif, mikwara and kutambariiiing zitakuwa zipo pale pale