Haha mi niko poa kabisa dadake ndo nimetoka tu kumalizia ile mialiko yangu ya eid mana ilinibidi kuimaliza yote bila kukosa.. Chezea mnuso wewe!Mi ni buheri wa afya![]()
![]()
![]()
Hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
AsanteeeeeeMi nasema hivii..
MAKAUPUKU tushalenga MWEZI na JUA hata tukiukosa, tutatua tu juu ya NYOTA na mambo itakua shkopa... Wenyewe(wakongwe) washaisoma namba
Idumu sana KF

Tisha mbayaaaaaaaaaaHaha mi niko poa kabisa dadake ndo nimetoka tu kumalizia ile mialiko yangu ya eid mana ilinibidi kuimaliza yote bila kukosa.. Chezea mnuso wewe!
Sabato njema sana, tunawajibika saa hz!!Fresh mkuu, sabato inakwendaje?
Jamaa huo mchicha si apelekee mbuzi, sistadu anataka strawberry
Hao ni Shululu na Jimena km hujaelewaJamaa huo mchicha si apelekee mbuzi, sistadu anataka strawberry
Ni mwema sanaIko poa sana, Mungu ni mwema