LvG muharibifu sana yule mzee![]()
![]()
LVG aliua kipaji chake kwa kufanya beki 3
.........
Picha ya chini kabisa ni huyo wa kushoto.![]()
![]()
Rafael ndo yupi?![]()
.........
So Fabio ni mrefu halafu Rafael andunje nimekuelewaPicha ya chini kabisa ni huyo wa kushoto.
Ahsante sana ubarikiwe.View attachment 364399View attachment 364400
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa Mussolin5 basi kutoka kwenye magazeti sina la ziada
Nawatakia jumamosi njema na muwe na furaha isiyo kifani
Leo katika Historia * Special*
Ni miezi mitatu toka Makapuku Forum ianzishwe.
Idumu sana, pongezi za pekee kwa waasisi wake na members wote.
Jamani hata party kidogo basi siku za usoni.
Hebu waje wasemeNzuri kabisaZa asubuhi wakuu
Na miezi hiyo ni3 haikuwa rahisi kuna watu tuliwapokea wakiwa VIKAPUKU wana viLIKE vi3 lkn leo hii wamekuwa juu na kuota pembe na kuanza kujiona mastaa na kutaka wabembelezwe ili waendelee kuwepo au warudi tena....kwa taarifa yao HATUSHOBOKEI MTU na thread haiwezi kufa kwa wao kutoshiriki labda wataanza wao na wataumia kila siku wakiingia na kuona tunaendelea kupetaLeo katika Historia * Special*
Ni miezi mitatu toka Makapuku Forum ianzishwe.
Idumu sana, pongezi za pekee kwa waasisi wake na members wote.
Jamani hata party kidogo basi siku za usoni.
Mr shululu habariNzuri kabisa
Njema mkuuZa asubuhi wakuu
Wewe chin zaoNa miezi hiyo ni3 haikuwa rahisi kuna watu tuliwapokea wakiwa VIKAPUKU wana viLIKE vi3 lkn leo hii wamekuwa juu na kuota pembe na kuanza kujiona mastaa na kutaka wabembelezwe ili waendelee kuwepo au warudi tena....kwa taarifa yao HATUSHOBOKEI MTU na thread hawezi kufa labda wataanza wao na wataumia kila siku wakiingia na kuona tunaendelea kupeta
Watakufa na wivu na chini zao
Idumu KF milele
.............................

Wa kulia kwako![]()
![]()
Rafael ndo yupi?![]()
.........
Duh!!! Longi!!! Kumbe wamepata uhuru wakati hatujui kuvaa nguo!Leo katika Historia:
1816 - Argentina yapata Uhuru wake.
Wanasherehekea miaka 200 ya Uhuru wao.
Nimeedit check upya punguza harakaWewe chin zao![]()
![]()
![]()
Kwa leo tuishie hapo, tukutane tena kesho kwa Udhamini Mnono wa Kumu-overtake Jimena.
Byeeee....

Acha woga ilikuwa mkao ungeachaNimeedit check upya punguza haraka
...........
Kila mtu anasema lakeWa kulia kwako