Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Leo katika Historia:
2011 - Sudani Kusini inapata Uhuru wake.
2011 - Sudani Kusini inapata Uhuru wake.
Leo katika Historia:
1816 - Argentina yapata Uhuru wake.
Wanasherehekea miaka 200 ya Uhuru wao.
Leo katika Historia:
1968 - Paolo Di Canio. Mchezaji na kocha toka Italia anazaliwa.
Kwa leo tuishie hapo, tukutane tena kesho kwa Udhamini Mnono wa Kumu-overtake Jimena.
Byeeee....
Leo katika Historia:
1964 - Gianluca Vialli. Mchezaji wa zamani wa Italy anazaliwa.
Leo katika Historia:
1985 - Ashley Young. Winga wa Man Utd na timu ya taifa ya England anazaliwa.
Leo katika Historia.
1990 - Ni siku ya kuzaliwa kwa mapacha wawili Wabrazil waliowahi kucheza Man Utd ambao ni Fabio Da Silva na Rafael Da Silva.