Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Habembelezwi MTU......ukisusa wengine wapya wanakujaAseee inabid wasakwe warejeshwe
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Habembelezwi MTU......ukisusa wengine wapya wanakujaAseee inabid wasakwe warejeshwe
Asante sana kwa 10 kubwa na Eid MubarakJaman mlikuwa na mimi wenu Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Jimena wangu nlitaka nidokeze jambo hapa kuhusu bustan ya Morocco ile lakin ntakuja PM maana vijana wataanza majungu hapa
Nawakubali wana famili
Katika wik 3 hizi zijazo Top ten inaweza kuwa ina kuja na kupotea kiaina so kaen tayar any time na nna wataka radhi kwani ni sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Adiooous amigooooooouw
Sasa Eid wapi??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Youngblood ndo hakufunga bhana
Aaaa ondoa shaka, twajua ni wako wivu hatunaJaman mlikuwa na mimi wenu Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Jimena wangu nlitaka nidokeze jambo hapa kuhusu bustan ya Morocco ile lakin ntakuja PM maana vijana wataanza majungu hapa
Nawakubali wana famili
Katika wik 3 hizi zijazo Top ten inaweza kuwa ina kuja na kupotea kiaina so kaen tayar any time na nna wataka radhi kwani ni sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Adiooous amigooooooouw
Yuko[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Asante mkuu kwa picha zaidi
Mpiga picha wetu Bitoz
Sio kweliAcha kuchezesha kumuneno!
Hapa wafaransa wametisha sana, hii kibokoNumber 4, Gardens at the Versailles Palace, Francehaya maelezo na tia kiingereza kama yalvo ekwa vile vilee "The gardens are now one of the most visited public sites in France, receiving more than six million visitors a year." Bustan hizi zina chukua hekta zaid ya 800 ilijengwa na Louis XIV’s ambaye alisema jumba la kifalme lazma liwe na bustan nzuri pia ajiita yeye ni mfalme wa jua hivo alihitaji kivuli![]()
Sumbai alikuwepo asubuhiJaman Linamo na Sumbai
Ningependa kujuzwa wako wapi kwa sasa
Wapi hyo QUIGLEYHahahaha
Anaitwa kwiglei eehehehe
Wamorocco nao hawapo nyuma
Nme alikwa Temeke ni shdaaa yaanSasa Eid wapi??
Mi mwenyewe nimewakumbuka sanaJaman Linamo na Sumbai
Ningependa kujuzwa wako wapi kwa sasa