Aaah [emoji3] [emoji3] [emoji3]Habembelezwi MTU......ukisusa wengine wapya wanakuja
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Sio kuziona hata, hata zaidi ya hapoHizo ni bustani hivyo najua watu walitaka kuziona vizuri
..................
Alikuwepo leo hata nimechat nae, anasema anamiss family alikuwa tightWamesusa uzi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
.................
Kuna kijana briz ana leta leta vumbi hapaAaaa ondoa shaka, twajua ni wako wivu hatuna
Bitoz Nyangema anataka aitwe Tupac[emoji15] QUIGLEY!
Wakati anaitwa Jambilo
Unaumwa kichaa cha mbwa wako wew!![emoji31] [emoji31][emoji15] QUIGLEY!
Wakati anaitwa Jambilo
HahahahaWapi hyo QUIGLEY
Maua mengi rangi tofautitofauti(crazy coluors), haivutii sana kuchill hapo inawafaa sana hao mabotanistsNumber 1, Kirstenbosch, Cape Town, South Africaikiwa ina zaid ya aina 22,000 za maua ilianzishwa mwaja 1913 huko Pretoria kwa ajili ya kutunza aina fulan ya maua yaliyo kuwa yakihisiwa yana weza kupotea kwenye uso wa dunia, amini usiamini hii ndo Botanical Garden ya kwanza kabisa duniani![]()
Ina maua yanayo itwa Restoss na huzaliana kwa kupata aina yyte ya moshi kwa hiyo bustan hii mara nyingi huwa na kuwashwa moto ili kuwezesha maua hayo yazaliane
Sumbai yupo mkuuYeah ni kweli lakini
Naomba umrejeshe linamo bhana
Na kaka Sumbai watu muhimu wale
Nimerejea nduguNdugu briz kapotea
Sumba yupo kwenye thread nyingine hukoAaah [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Siyo kubembeleza kuwa rejesha tuu mkuu
Hata wawe wana kuja mara moja moja kama kina Liz na Th Name au kama kina Manuu
Itakuwa poa
Andika quigley tamka kigliHahahaha
Anaitwa kwiglei eehehehe
Bitoz Nyangema anataka aitwe Tupac
Kakupiga fix tuAlikuwepo leo hata nimechat nae, anasema anamiss family alikuwa tight