Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Haya mlete linamo sasaSumbai alikuwepo asubuhi
Bro
Haya mlete linamo sasaSumbai alikuwepo asubuhi
Wake kivipi???Aaaa ondoa shaka, twajua ni wako wivu hatuna
Mimi hapa, mzee wa madog semaWapi hyo QUIGLEY
Unamsemea huyuUnaumwa kichaa cha mbwa wako wew!![emoji31] [emoji31]
Sana every member hapa akikosekana hata siku 2 tu uwa naskitika sanaMi mwenyewe nimewakumbuka sana
Hehehehehe looking forward kupokea ile BMW 750 mbona watajinyonga mwaka huuAaah
Sasa we usijali huyo kijana ana piga kelele tuu
Kifo ndo king
Usijali we si ndo namba 1 wanguHehehehehe looking forward kupokea ile BMW 750 mbona watajinyonga mwaka huu
Hahahahaa kuna tatizo kwani? Mpeleke tu moroccoJaman mlikuwa na mimi wenu Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Jimena wangu nlitaka nidokeze jambo hapa kuhusu bustan ya Morocco ile lakin ntakuja PM maana vijana wataanza majungu hapa
Nawakubali wana famili
Katika wik 3 hizi zijazo Top ten inaweza kuwa ina kuja na kupotea kiaina so kaen tayar any time na nna wataka radhi kwani ni sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Adiooous amigooooooouw
Sawa kaka karbuNimerejea ndugu
Nani kakualikaNme alikwa Temeke ni shdaaa yaan
Mengne ntaplan nkitoka huko
Ok sawa mkuuSumba yupo kwenye thread nyingine huko
Tofautisha kuwa BUSY na kukaushia thread........
Th Name anakujaga mara mojamoja ndo style yake tangu zamani
..............
HilooooooSio kuziona hata, hata zaidi ya hapo
Means strong and powerfulHahahaha
Mwanangu jina kalibsana hilo
Hehehe kigiliAndika quigley tamka kigli
Gadafi jamani, basi tu alikufa mapema
Lile jina likikuwa linaendana na neno Kij*mbioHahahaha
Mwanangu jina kalibsana hilo
T.U.P.O.T.E Z E.EOk sawa mkuu
[emoji106]Kakupiga fix tu
But tusimind pipo
...................
[emoji102] kama nakuona vile, teh..Hehehehehe looking forward kupokea ile BMW 750 mbona watajinyonga mwaka huu