Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 8, Ji Chang Yuan, Jiangsu, China ,
ce494c48d0185a8e5c7d2c6020016151.jpg
ilitengenezwa miaka ya 1700 ni nzuri na cha kushangaza ni kuwa ina chukua ekari moja tuuu ila uzuri wake ni kama ekari 1000 hvii
0c66abcaf2e476cebea17313b85831d9.jpg
15fc0be09fe20bf2cca1dc3afd6ccaaa.jpg
9158e18ada298136b61789e91240a37f.jpg
 
7. Bagh-e Fin, Kashan, Iran
e90269341a681143c3245cbbbf5e1ed2.jpg
hapa ndipo ilipo ile bafu ya Kashan Fin, ambayo Amir Kabir, kansela wa Qajarid, aliuwa na watu(assasins) walo tumwa na mfalme Nasereddin Shah in 185 (kama hukusoma historia pole)

Haijulikani ilianza kujengwa lini lakini kwa kuwa ilimalizw kutengenezwa mnamo mwaka 1590 hii ndo Garden kongwee penginepo kuliko zoote kati ya hizi kumi bora hii imejengwa ki dizain ya “chahar bagh” kama ilivo andikwa kwenye Qur'an kuwa huko peponi kuna mito miwili ina pishana aka ina cross na waliijenga hivo kwa kuvuta na bomba maji yanayo tiririka milimani , kwa wale wasoma maandiko wenzangu mtakuwa mme nielewa najua
 
7. Bagh-e Fin, Kashan, Iran
e90269341a681143c3245cbbbf5e1ed2.jpg
hapa ndipo ilipo ike bafu ya Kashan Fin, ambayo Amir Kabir, kansela wa Qajarid, aliuwa na watu(assasins) walo tumwa na mfalme Nasereddin Shah in 185 (kama hukusoma historia pole)

Huu uzi unazidi kunawiri
 
5b1ac6b79da02e9435d93bc051f393b8.jpg
191efec50ae5568b5e17b021a9ec740b.jpg
7e295496b0c35dac400b1df040344c14.jpg
 
Number 6, Desert Botanical Gardens, Phoenix, Arizona
d52c04f739c0636b79c5a9d93fc9f9d6.jpg
walio ianzisha ni Arizona Cactus na Native Flora Society mwaka1937, bustani ina maua zaid ya aina 21,000 , zaid ya taxa 4000.

Kwa wale tulo fika Arizona tunajua kuwa ni jua kali sana na kuna hali ya ujangwa so ukiiona hyo bustan nadhan uta enjoy
 
Number 4, Gardens at the Versailles Palace, France
6ff2ebfaa7716fca57bfc8efceff6d01.jpg
haya maelezo na tia kiingereza kama yalvo ekwa vile vilee "The gardens are now one of the most visited public sites in France, receiving more than six million visitors a year." Bustan hizi zina chukua hekta zaid ya 800 ilijengwa na Louis XIV’s ambaye alisema jumba la kifalme lazma liwe na bustan nzuri pia ajiita yeye ni mfalme wa jua hivo alihitaji kivuli
 
Iko poa sana hii
 
Number 3, Majorelle Garden, Marrakech, Morocco
19d02e725c565507135021b57c62838c.jpg
miaka ya 1920 wakati mchoraji mmoja kutoja ufaransa alipo chora bustani ya kufikirika tuu na kuiweka kwejye maonyesho huko Paris hakujua kama inaweza kuwa kweli na mchoraji huyo si mwingine bali ni
Majorelle, hii ni bustani nzuri kweli kweli, na pembeni yake kuna majengo ya maonesho ya sanaa mbali mbali na pia maktaba ya vitabu vya mafundisho mbali mbali ya ki Islam

Kwa maoni yangu hii ndo ilifaa kuwa ya kwanza lakini ndo bas tena nawa achia wenyewe
 
cec1dec7360c13f9df2dc56e70a19e96.jpg
d8b62657609eb1547d7a345033ea15c9.jpg
 
Number 2, Claude Monet’s Garden at Giverny, France
0e4211ab175ac730b2e74f02f98e079c.jpg
kwa miaka 43 mchoraji Oscar-Claude Monet, aliishi nyumbani kwake kijijini huko Givenry akijaribu kutengeneza bustani inayo fanana na michoro yake ya bustani, na ilimchukua miaka hiyo kufanya bustan hiyo ionekane hivo ilivo , miezi mizuri ya kutembelea hapo ni mwezi wa 4 hadi wa 10, ni bustani nzuri kweli kweli nilikuwa hapo mwaka 2009, kwa kweli nilipata mawazo ya kuzamia Ufaransa
 
Number 3, Majorelle Garden, Marrakech, Morocco
19d02e725c565507135021b57c62838c.jpg
miaka ya 1920 wakati mchoraji mmoja kutoja ufaransa alipo chora bustani ya kufikirika tuu na kuiweka kwejye maonyesho huko Paris hakujua kama inaweza kuwa kweli na mchoraji huyo si mwingine bali ni
Majorelle, hii ni bustani nzuri kweli kweli, na pembeni yake kuna majengo ya maonesho ya sanaa mbali mbali na pia maktaba ya vitabu vya mafundisho mbali mbali ya ki Islam

Kwa maoni yangu hii ndo ilifaa kuwa ya kwanza lakini ndo bas tena nawa achia wenyewe
de14c2455274b311c746c23fabcfb1b6.jpg
95ca2473869b9ef7afacf697c0bb57fb.jpg
2fd30d5344e2f940337b0b2349bca410.jpg
 
Number 2, Claude Monet’s Garden at Giverny, France
0e4211ab175ac730b2e74f02f98e079c.jpg
kwa miaka 43 mchoraji Oscar-Claude Monet, aliishi nyumbani kwake kijijini huko Givenry akijaribu kutengeneza bustani inayo fanana na michoro yake ya bustani, na ilimchukua miaka hiyo kufanya bustan hiyo ionekane hivo ilivo , miezi mizuri ya kutembelea hapo ni mwezi wa 4 hadi wa 10, ni bustani nzuri kweli kweli nilikuwa hapo mwaka 2009, kwa kweli nilipata mawazo ya kuzamia Ufaransa
4b05148d078522776e45a7a7d78b08fb.jpg
b6120fd3174b6d7b59135a6d2b94a780.jpg
72f255ed62d022c3d4d7432ad61788e0.jpg
 
Back
Top Bottom