Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 6, Desert Botanical Gardens, Phoenix, Arizona
d52c04f739c0636b79c5a9d93fc9f9d6.jpg
walio ianzisha ni Arizona Cactus na Native Flora Society mwaka1937, bustani ina maua zaid ya aina 21,000 , zaid ya taxa 4000.

Kwa wale tulo fika Arizona tunajua kuwa ni jua kali sana na kuna hali ya ujangwa so ukiiona hyo bustan nadhan uta enjoy
Hali ya hewa inavutia
 
Number 4, Gardens at the Versailles Palace, France
6ff2ebfaa7716fca57bfc8efceff6d01.jpg
haya maelezo na tia kiingereza kama yalvo ekwa vile vilee "The gardens are now one of the most visited public sites in France, receiving more than six million visitors a year." Bustan hizi zina chukua hekta zaid ya 800 ilijengwa na Louis XIV’s ambaye alisema jumba la kifalme lazma liwe na bustan nzuri pia ajiita yeye ni mfalme wa jua hivo alihitaji kivuli
Nilitaka kushangaa France inakosaje kuwepo kwa mfano?
 
Number 2, Claude Monet’s Garden at Giverny, France
0e4211ab175ac730b2e74f02f98e079c.jpg
kwa miaka 43 mchoraji Oscar-Claude Monet, aliishi nyumbani kwake kijijini huko Givenry akijaribu kutengeneza bustani inayo fanana na michoro yake ya bustani, na ilimchukua miaka hiyo kufanya bustan hiyo ionekane hivo ilivo , miezi mizuri ya kutembelea hapo ni mwezi wa 4 hadi wa 10, ni bustani nzuri kweli kweli nilikuwa hapo mwaka 2009, kwa kweli nilipata mawazo ya kuzamia Ufaransa
Sasa kwanini hukuzamia na wewe?
 
Number 1, Kirstenbosch, Cape Town, South Africa
ef3fa26fa1e78135df21cc58b05fef2e.jpg
ikiwa ina zaid ya aina 22,000 za maua ilianzishwa mwaja 1913 huko Pretoria kwa ajili ya kutunza aina fulan ya maua yaliyo kuwa yakihisiwa yana weza kupotea kwenye uso wa dunia, amini usiamini hii ndo Botanical Garden ya kwanza kabisa duniani

Ina maua yanayo itwa Restoss na huzaliana kwa kupata aina yyte ya moshi kwa hiyo bustan hii mara nyingi huwa na kuwashwa moto ili kuwezesha maua hayo yazaliane
Asante kwa South Afrika hakika wametutoa kimasomaso kuingia kwenye 10 kubwa sio swala la mchezo
 
Back
Top Bottom