Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
YeahMmmh katam eee
YeahMmmh katam eee
Umenikumbusha mbali sanaWe ni boi nini???
Naam[emoji15]Weraaaaaaaaaaaaa
Wapi???Umenikumbusha mbali sana
Zanzibar Enzi nafanya hiyo kazi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wapi???
Nmeona post yako ya page zilizopita umesema kuwa nmejikojolea.. na hii hapa unasema nna "LAANA"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] Hili toto jonax lina laana
Bitoz nimefuatilia rekodi ya 100 watu walioishi muda mrefu zaidi wengi ni wajapan sijui siri ni nini!
Huyu meneja wa hii kampuni yangu itabidi nmfukuze kazi mara moja[emoji53]
Very sad
Boi ni nin mkuuWe ni boi nini???
Kumbe umebeba tray eeh!!! Ndio ukapata mzungu wako???[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Zanzibar Enzi nafanya hiyo kazi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila baadae niliona kuwa hakuna shortcut kwenye maisha nikaamua kurudi shule
WaiterBoi ni nin mkuu
Daaa cjawahi kufanya uhotelia mkuu, mimi kazi zangu ni za kuumiza kichwa na kusababisha nywele kwishaWaiter
Maisha safari ndefu mkuuKumbe umebeba tray eeh!!! Ndio ukapata mzungu wako???[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wap tz? Escrow, EPA, Lugumi etc kumbe ni cheche tu2) Je wajua?
Somalia, korea kaskz, sudan na Afghanist ndizo nchi zilizokithiri kwa rushwa duniani
Kumbe kuna wanamziki wenye mkwanja mrefu afu wamechill tu, hawa akina P diddy sijui Dr dre mbona wanasumbua hivyo watu hela ya kubadilishia mboga [emoji4] [emoji4]3) Je wajua?
Andrew Lloyd Webber ndiye mwanamuziki tajiri zaidi duniani mwenye utajiri wa $1.2 billionView attachment 363244
Wale jamaa kwenye utalii wanadai wajerumani na waingereza pia ni bahili balaa wenyewe wanawasifia sana wacanada na wamarekani kwa kutoa tipsHawa ni wagumu kurifhika, wana kaubaguzi sana, wana hasira na ubahili damuni mwao, nawafahamu sana hawa