Mzee wa fujo leo mpolee au hujakatia nin!!!Naona kila mtu naashabikia Belgium! Sasa mm nko Wales[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]![]()
We Kikofia unabet kwa pesa ya sukari.....kesho utakunywa uji kwa sukari guruNaona kila mtu naashabikia Belgium! Sasa mm nko Wales[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]![]()
Haha washakuskia![]()
Wazee wa michepuko jifunzeni kukaza macho
..........
Mbona average tu, sijui wanatumia vigezo gani hawa jamaa(3) JE WAJUA?
Selena Gomez wa USA ndiye msichana anayeshikilia rekodi ya mwanamke mrembo zaidi duniani kwa mwaka 2016View attachment 361993
Anapatikana wap huyu mkuu nikatalii?(4) Je wajua?
Golden pleasants ndio ndege wenye rangi nzuri na kuvutia zaidi kati ya aina 10,000 wa ndege wote duniani.
Dume ndilo linaongoza kwa kuwa na rangi nyingi na urefu wake ni inch 42 sawa na sm 96View attachment 361998
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30][emoji460] [emoji460]: [emoji460]![]()
..............
Uko vizuri mkuu, umefukunyua vizuri kwenye mazingira yaliyotuzunguka humu humu... Hongereni Jimena na Bitoz(5) Je wajua?
Makupuku forum ndio uzi wenye posts nyingi kuliko uzi wowote jf na unaoshikilia rekodi ya likes, jimena ndiye ke anayeongoza na bitoz ndiye me anayeongoza kwa likes jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]