Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HeeeeeKuna raia anaitumia picha ya malcom kama Avatar sasa kutokana na pumba za huyo raia.... Hata Malcom simkubali tena
Tenaaa!!!
Uwa ana ongea pumba ee!!?
HeeeeeKuna raia anaitumia picha ya malcom kama Avatar sasa kutokana na pumba za huyo raia.... Hata Malcom simkubali tena
Malcom kwa kweliiiiiiWe naeee, malcom ataendelea kubaki kuwa malcom usimfananishe na kiazi mwingine yeyote hata kama anatumia avatar yake, kwema lakin?
Jaman huyo mtu ako hapa makapuku!!?Namjua tu vizuri na huwa naona post zake ila mtu kutumia avatar ya malcom haimaanishi atafanana mawazo na malcom
Portugal mbona final inamuhusu hapaaHapo ndo portugal wamefurahi kweli
Huyo jamaa sijawahi kumuona hapa lakin anaonekana sana kwenye majukwaa mengine hasa MMUJaman huyo mtu ako hapa makapuku!!?
Mpaka anakeraaaa[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Heeeee
Tenaaa!!!
Uwa ana ongea pumba ee!!?
I wish ningeweza kuufanya moyo wangu ubadilikeMalcom kwa kweliiiiii
Ata baki vile vileeee
Hapana, ni huko mitaaniJaman huyo mtu ako hapa makapuku!!?
Halafu ana id mbili nahisi na zote anatumia picha hizoHuyo jamaa sijawahi kumuona hapa lakin anaonekana sana kwenye majukwaa mengine hasa MMU
Nite![]()
USIKU MWEMA
See u kesho
......................
Usjal tuta mshughulikiaMpaka anakeraaaa[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
UwiiI wish ningeweza kuufanya moyo wangu ubadilike
Hahaha kama nakuona vile unavyoweka ulinziUsjal tuta mshughulikia
Duh kumbe! Hana maana kabisaHalafu ana id mbili nahisi na zote anatumia picha hizo
Kwa kweli ndo nmeingia MMU nafanya msako hapaHahaha kama nakuona vile unavyoweka ulinzi