Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO #2. Kama matendo yako yanahamasisha wengine kuwa na ndoto zaidi,kujifunza zaidi, kufanya zaidi na kujitambua zaidi, wewe ni kiongozi. Maneno haya yalisemwa na Rais wa sita wa Marekani, John Quincy Adam. Aliyeongoza taifa hilo Kati ya mwaka 1825 mpaka 1829. Alizaliwa Julai 11,1767 na kufariki Dunia Feb 02,1848.
Hii naikubali 100%
 
Niliomba uweke ratiba ya jioni kati ya shululu, mzee wa 10 na jambilo...nani aanze, afuate nani na yupi amalizie ili kutoa nafasi kwa family kufuatilia na kuchangia
Sasa we unaweza kuendelea muda huu, kwavile shululu amemaliza

Yule mzee wa 10 kubwa ye ratiba yake huwa anapishana na Bitoz kwavile muda ule wakati fulani huwa kunakuwa na mpira ila wenyewe wanajua wanavyopangana na mambo yanaenda sawa
 
NUKUU NO #2. Kama matendo yako yanahamasisha wengine kuwa na ndoto zaidi,kujifunza zaidi, kufanya zaidi na kujitambua zaidi, wewe ni kiongozi. Maneno haya yalisemwa na Rais wa sita wa Marekani, John Quincy Adam. Aliyeongoza taifa hilo Kati ya mwaka 1825 mpaka 1829. Alizaliwa Julai 11,1767 na kufariki Dunia Feb 02,1848.
7356767dbacc6be78b390740cc31f51b.jpg

........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom