yeah but is not my permanent resident kuna vitega uchumi vyangu tu...viwanja vipo..sema taarifa stahiki za masoko ya viwanja sina labda niulizieMkuu kumbe unakaa chanika?? Viwanja bado vipo huko??
Bei zake zikoje??
Thanx Kapukuz
![]()
![]()
![]()
![]()
.............

Chanika mapapai, mafenesi, mihogo, kidogo machungwa nk, mko vizuriKaribu chanika
Umesahau...mastafel,viaz vitam na mbatata,mpaka ndizi na maembeChanika mapapai, mafenesi, mihogo, kidogo machungwa nk, mko vizuri
Ntakuwepo hapa kupokea updates![]()
EURO 1/4 FINAL
POLAND V PORTUGAL
SAA 4 USIKU
......................
Hapo walijua kuwaweza watuNa ndo nguzo ngumu sana coz ndo mtu ushaelimika unafaham mambo na unataka kureason unaambiwa amini tu dah!
Hebu ulizia hasa ukubwa na bei then unijulisheyeah but is not my permanent resident kuna vitega uchumi vyangu tu...viwanja vipo..sema taarifa stahiki za masoko ya viwanja sina labda niulizie
Toroka ujeKila nikichungulia naona mwachanja mbuga hadi natamani kuwepo but majukumu ndo hivyo tena...
MmmhUmesahau...mastafel,viaz vitam na mbatata,mpaka ndizi na maembe
Tunaeneza green revolution dada akeMmmh
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mnastahili sifa
Hiyo ni poaTunaeneza green revolution dada ake
Hahahaaa ntakuja tuuuToroka uje
Mabungo vip mkuuUmesahau...mastafel,viaz vitam na mbatata,mpaka ndizi na maembe