Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
Niko Palii[emoji6]Habari za Kinshasa, nasikia ulikuwa umeenda kusherehekea siku ya uhuru
Niko Palii[emoji6]Habari za Kinshasa, nasikia ulikuwa umeenda kusherehekea siku ya uhuru
Nzuri kaka.Habari za leo dada
Nafurahi kukuonaNzuri kaka.
Wafanyani!Niko Palii[emoji6]
PolandVipi kuhusu hii game ya leo kati ya Poland vs Portugal.
Mm nabashiri ushindi kwa Portugal.
Ww unabashiri nani ataibuka kidedea?
Nami pia kakaanguNafurahi kukuona
Ok, vipi uko poa lakini?Poland
Karibu tena ndg yetu, family inakumis sana hapaNami pia kakaangu
Ww mcheza kigodoro unajua mpira ?Vipi kuhusu hii game ya leo kati ya Poland vs Portugal.
Mm nabashiri ushindi kwa Portugal.
Ww unabashiri nani ataibuka kidedea?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ww mcheza kigodoro unajua mpira ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Niko mdogo mdogoKaribu tena ndg yetu, family inakumis sana hapa
Kataaa kataaa kata kata usiogope kataWw mcheza kigodoro unajua mpira ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Niko poa, vp mbona uko kimya sana,nimezoea ukionekana tu mbwembwe nyingiOk, vipi uko poa lakini?