Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,270
Hao ndio waliompa Fergie mafanikio yake ya awali kwa kutengeneza ukuta mgumu na Steve Bruce kando ya Peter Schmeichel aka Big DaneAaaah
Alikuwa bonge ya beki
Alaf alikuwa pande la mtu
Sir alex anasema kuna siku alienda kwa gary akauta mke wake kamtengea ki boks cha chocolate
Sasa yeye gary alivo muona Sir aka kimbilia chumbani
hahaha wampe udhamini bhanaHahahahahahaha
Asante sana mkuu
Wadhamini wako wamenifurahisha sana.....
Kwasasa nafanya mazungumzo na shululu nione kamawataanza kudhamini segment ya nukuu ya leo
View attachment 361408
Hiyo ni poa sanaaaMungu ni mwema kaka...kanijalia tena pumzi
Tupe na picha ya Jesse Owens mwanariadha toka USA
Real
........
Fundiiiii in Temba voiceFundi huyu
Safi sanaaHaha uzuri mi sio mwizi.. ni upendo wa agape tu
hapo sasa mukide...
Jesse Owens ktk ubora wake
........
City boys ndo wanatawalaHuyu jamaa nae kapotea siku hizi
Kuachia kitanda ni mtihani mzitoHahaha
Joto la asubuhi
HapanaUmeona eeh...na hatuwezi kuwaangusha
Pamoja sana dadake
HahahaHao ndio waliompa Fergie mafanikio yake ya awali kwa kutengeneza ukuta mgumu na Steve Bruce kando ya Peter Schmeichel aka Big Dane
hahaha...ilikuwa hatariHahaha
Fergie alimpenda sana huyu dogo
Anasema walikuwa wana cheza mpira Pallister ana bishana na Schemicel ana mwambia, Schemicel ni mjerumani
Pallister-Go to your goal yo bloody germany
Schemicel-Am not a German you fool
Pallister-what ever, German colonized u any way
Babu ana sema alikuwa ana enjoy kuwaona hao watu kila day
BREAKING NEWS
Batimaye thread ya Bitoz imewekwa STICKY Jukwaa la Utanashati
Darasa la kupigilia pamba kijanja
Makofi Tafadhali
Makapuku tunazidi kuthaminiwa
................
Sifa yake kuu ni jinsi ya kukwepa na kushambulia kwa mbinuBondia wangu bora wa muda wote
I admire him