Makapuku Forum

Makapuku Forum

Na wanamuziki kadha wa kadha wakiwemo kina Michael Jackson
Na kwa wale ambao hawafahamu wajue sasa kuwa hata Jesus, King Solomon na waisrael walikuwa mablack kabla ya wazungu kuhack ile historia na kuibadilisha kabisa ili kuifanya ulimwengu uamini kuwa walikuwa weupe
Haha hii ya kuhack ni kiboko... na tunapowataja akina Michael Jackson, Mike Tyson, Mohd Ally tusiwasahau pia Michael Jordan na Eddy Murphy hawa wote kwa ujumla walipaisha sana ngozi nyeusi
 
kilimo kwanza
be127c5ce022d013f36bd8fd40c2ee49.jpg
 
Haha hii ya kuhack ni kiboko... na tunapowataja akina Michael Jackson, Mike Tyson, Mohd Ally tusiwasahau pia Michael Jordan na Eddy Murphy hawa wote kwa ujumla walipaisha sana ngozi nyeusi
Nakupa mfano simple tu....
Hivi kuna mzungu gani unaemjua anaeweza kubeba msalaba kwa umbali mrefu tena akiwa katika hali ile????
Huu mchezo hauhitaji hasira mkuu
Haya mambo tukiamua kuingia deep basi itakuwa mwisho wa Brain washed
Ila sidhani kama wazungu wataruhusu hilo
 
Safi sana...naomba uniingize kwenye ratiba ya kushare na family, (title..itakuwa..JE WAJUA?)
Nitakuwa nikieleza sifa za kipekee za wanyama, vivutio vya kipekee au sifa za kipekee za watu au mahali husika.
Jazia ka ushauri hapa ili kuleta mvuto
Safiiiiii
Kwanza naomba kujua utakuwa unaleta muda gani?? (Hii itasaidia ili tuwe tunapishana muda kuwapa ladha tofauti Makapuku na pia tuweze kujazia nyama)
Kuhusu ushauri utafuata polepole kadri itakavyokuwa unatiririka
Hongera sana kwa ubunifu
 
Nakupa mfano simple tu....
Hivi kuna mzungu gani unaemjua anaeweza kubeba msalaba kwa umbali mrefu tena akiwa katika hali ile????
Huu mchezo hauhitaji hasira mkuu
Haya mambo tukiamua kuingia deep basi itakuwa mwisho wa Brain washed
Ila sidhani kama wazungu wataruhusu hilo
Walituzid ujanja mapema hawa wazungu wakafanya hizi figisu, huwa nashangaa inakuaje hata hao malaika wote na hata watakatifu wanakua ni wazungu tu dah!
 
Walituzid ujanja mapema hawa wazungu wakafanya hizi figisu, huwa nashangaa inakuaje hata hao malaika wote na hata watakatifu wanakua ni wazungu tu dah!
Wanasababisha Mungu aonekane ana upendeleo,
Ila hii yote ni kwasababu hatufikirii na tusipoamka sasa basi ... Zikipita karne kadhaa hata hawa Kina Michael Jackson, Martin Luther utasikia ni wazungu na watawekwa katika record zote (kumbuka wao ndo wanaozimiliki record za dunia) na watu watakaokuwepo wengi tu wataamini
 
Safiiiiii
Kwanza naomba kujua utakuwa unaleta muda gani?? (Hii itasaidia ili tuwe tunapishana muda kuwapa ladha tofauti Makapuku na pia tuweze kujazia nyama)
Kuhusu ushauri utafuata polepole kadri itakavyokuwa unatiririka
Hongera sana kwa ubunifu
Ningependelea hasa jioni ndipo naweza kuwa na utulivu wa kuposti na nisingependa kuingilia ratiba ya shululu na mzee wa 10. Hivyo naomba uweke mpangilio nani aanza, afuate nani na amalizie nani
 
Nakupa mfano simple tu....
Hivi kuna mzungu gani unaemjua anaeweza kubeba msalaba kwa umbali mrefu tena akiwa katika hali ile????
Huu mchezo hauhitaji hasira mkuu
Haya mambo tukiamua kuingia deep basi itakuwa mwisho wa Brain washed
Ila sidhani kama wazungu wataruhusu hilo

Kwanza habari zenyewe za kina Yesu ni za kwao wao wazungu

Halafu hata huyo anaye daiwa ndo mariam alikuwa mzungu, sasa kama alizaa kiumbe cheusi tena shda hiyo sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom