Makapuku Forum

Kwa faida ya makapuku:

Karibia wanamichezo wote mahiri hapa Ulimwenguni ni watu weusi.

Pele - Mchezaji bora wa soka wa wakati wote.

Mohammed Ali - Mcheza ngumi bora kabisa

Kuna wanariadha kama akina Jesse Owens ambaye alidharauliwa na Hitler kisa rangi yake lakini baadae Hitler alikuja kumkubali mwenyewe.

Akina Serena Williams kwenye Tennis.
 
Leo katika Historia.

1965 - Gary Pallister mchezaji wa zamani wa Man Utd na Timu ya Taifa ya Uingereza anazaliwa. Alikuwa akicheza nafasi ya beki.
Aaaah
Alikuwa bonge ya beki
Alaf alikuwa pande la mtu

Sir alex anasema kuna siku alienda kwa gary akauta mke wake kamtengea ki boks cha chocolate

Sasa yeye gary alivo muona Sir aka kimbilia chumbani
 

Real
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…