Makapuku Forum

Makapuku Forum

The time of kutambaring
c1f2efc2995d53d311ef39bd246b5692.gif
utulivu sifuriiiiiiiiii
596921925d7f9a8102cb6f03ab6ec913.gif
wako jako...
Auuuuuuuuuuii
 
CITY BOYS : BUSH STARS
Kipindi cha kwanza hiki tumewazidi idara zote Beki,Kiungo,Ushambuliaji
Wamecheza rafu na mbinu zote wameshindwa na sasa wanalitaka Shirikisho la Soka liifutie usajili City Boys .....wamejibiwa haiwezekani lakini bado wanatoa povu tu wakishtuka watakuta tushaongeza goli za kutosha na nyavu zao tunazichana
Refa wao lkn kipigo kipo palepale

.............
 
Back
Top Bottom