Makapuku Forum

Makapuku Forum

f5f4f8e486ca51692f9848110c73eb8b.jpg
1bd72f89d8dfa9ae7536fcd0429f062c.jpg

Upo very clear


.................
mia mkuu
 
Nawakubali woote, nna appriciate kwa kila aliye anzisha segment

Nawashukuru Jiimena na Bitoz ambao ndiyo kama ma role model wangu walio nifanya ni fanye namana na nikaleta ki segment hiki kidogo cha top 10 aka kumi kubwa

Sote ni familia sote tuna pafanya mahala hapa pawe pazuri kuwepo
Asante sana

Inaleta raha sana pale unapofanya kitu na watu wakakubali
Hongera kumi 10 ni homa ya jiji
 
Number 1, Rupert na Anna Murdoch – $1.7 billion
4db84c882abfea9e8700e79b4bbb344a.jpg
Rupert Murdoch alirithi makampuni ya habari kutoka kwa baba yake mnamo 1952. Kama vile Twentieth Century Fox, Harper Collins, The Wall Street Journal, na kamouni nyingine za media. Alimuia Anna Maria Torv mnamo1967 na mwaka 1999. Baada ya miaka 32 ya ndoa na watoto wa 3 aliamua kumuacha fidia ya dola 1.7 billion, uliamulua na dola 110 million za keshi kwa ajili ya usumbufu zilitolewa hapo hapo baada ya kesi

Jimena ebu jitahid tusifike huku sasa, hii hataree
Ahsante Mkuu...be blessed!!
 
Back
Top Bottom