briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Haha nadhani part muhimu kwake ilikua ni exposure na utaliiDharau kubwa sana, ila yeye hakujali aliishia kukenua.
Haha nadhani part muhimu kwake ilikua ni exposure na utaliiDharau kubwa sana, ila yeye hakujali aliishia kukenua.
Hiyo ilimkuta hata Britney Spears kwenye ile ndoa yake iliyodumu kwa masaa machacheHahaha
Eeeh
Ila madonna alivo muacha yule jamaa ilibid amlipe
Dola kama mil 50 hivi, jamaa now ana zitumbua tyuu
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hawataweza.....
Uzuri Makapuku tumejipanga na tunafit kila idara na tunabuni vitu vipya daily
1. Update za soccer
2. Leo katika historia
3. Top 10
4. Nukuu ya leo
5. Magazeti
6. Loading.........
Yani huu uzi ukifikisha miezi 6 basi utakuwa na segment za kila aina...... Maana watu wanazidi kuumiza vichwa
Amenhakika ni jambo zuri sana, tuzidi kudumu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hiyo ilimkuta hata Britney Spears kwenye ile ndoa yake iliyodumu kwa masaa machache
Watu baada ya pombe kwisha kichwani wakaghairi
Hiyo kiboko[emoji119] [emoji119]Eeeeh
Hadi wa kuu wa shule
We mtu marekan kaenda kama mara 360 hvi nan ata shinda ana kupokea daily
Yule nae alitoaga mpya kwa kweliHiyo ilimkuta hata Britney Spears kwenye ile ndoa yake iliyodumu kwa masaa machache
Watu baada ya pombe kwisha kichwani wakaghairi
Hahahahahaha yani ye ni kutabasamu tu baasiMzee wa Msoga hakuwahi kujali hilo
Au labda alikuwa anajaribu kuvunja rekodi ya prezidaa aliesafiri zaidi akiwa madarakaniHaha nadhani part muhimu kwake ilikua ni exposure na utalii
[emoji817][emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji93] [emoji92]
Wakati mwingine huwa nakua tight sana, ila inapotokea time ndo kama hivi najumuikaMi pia niko poa....
Hehehe tatizo unapotea sana hapa ndio maana unanimiss
Ndio mshikaji alikuwa choka mbaya tu sema walichezaga wote kibaba baba[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ikabidi yeye ndio atoe kitita!!?
Chonde chonde ulevi nomaaaaaYule nae alitoaga mpya kwa kweli
Nasi tunafurahi tukiwa pamoja namna hiiWakati mwingine huwa nakua tight sana, ila inapotokea time ndo kama hivi najumuika
Ni kweli kabisaHawataweza.....
Uzuri Makapuku tumejipanga na tunafit kila idara na tunabuni vitu vipya daily
1. Update za soccer
2. Leo katika historia
3. Top 10
4. Nukuu ya leo
5. Magazeti
6. Loading.........
Yani huu uzi ukifikisha miezi 6 basi utakuwa na segment za kila aina...... Maana watu wanazidi kuumiza vichwa
Dalili za kuchokwa hizoRais aliye pita alikuwa ana pokelewa na ma meya, madiwani, wenye viti wa bodi mbali mbali, adi na mahead master
Ilikuwa sasa hadi ni dharau
Usiku mwema na kwako pia....Nawatakieni usiku mwema makapuku family
Nadhani atakuepo kwenye hiyo list, ngoja Szczesny akituletea top ten ya marais waliosafiri zaid afrika au dunianiAu labda alikuwa anajaribu kuvunja rekodi ya prezidaa aliesafiri zaidi akiwa madarakani
Ulale unonoNawatakieni usiku mwema makapuku family