Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Rais aliye pita alikuwa ana pokelewa na ma meya, madiwani, wenye viti wa bodi mbali mbali, adi na mahead masterAhsante mkuu...JK Nyerere alikuwa smart sana! Angalia amepokelewa na Mkuu wa Nchi husika, lakini angalia viongozi wa leo wanavyojipendekeza kwenda Ughaibuni na kupokelewa na watendaji wa kawaida.
Ilikuwa sasa hadi ni dharau