Makapuku Forum

Makapuku Forum

fc9cbdee08111dd26434f85e167ad73d.jpg

NANCY REEGAN
Mke wa Ronald Reegan
..........
Very sad
 
Basi aliuawa John Kennedy mbele ya mkewe sijui km nimekosea
.......
John F. Kennedy aliuwawa mbele ya Mkewe wakiwa Dallas, Texas walipokuwa kwenye gari la wazi mnamo 22 November ya mwaka 1963.

Alipigwa risasi 3 moja wapo ya kichwa na kuhitimisha uhai wake.

Huyu ni Rais wa mwisho wa USA kuuwawa akiwa Madarakani.

Alirithiwa na makamu wake Lyndon B. Johnson.
 
John F. Kennedy aliuwawa mbele ya Mkewe wakiwa Dallas, Texas walipokuwa kwenye gari la wazi mnamo 22 November ya mwaka 1965.

Alipigwa risasi 3 moja wapo ya kichwa na kuhitimisha uhai wake.

Huyu ni Rais wa mwisho wa USA kuuwawa akiwa Madarakani.

Alirithiwa na makamu wake Lyndon B. Johnson.
f5f4f8e486ca51692f9848110c73eb8b.jpg
1bd72f89d8dfa9ae7536fcd0429f062c.jpg

Upo very clear

.................
 
Back
Top Bottom