Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Number 1, Rupert na Anna Murdoch – $1.7 billion
Rupert Murdoch alirithi makampuni ya habari kutoka kwa baba yake mnamo 1952. Kama vile Twentieth Century Fox, Harper Collins, The Wall Street Journal, na kamouni nyingine za media. Alimuia Anna Maria Torv mnamo1967 na mwaka 1999. Baada ya miaka 32 ya ndoa na watoto wa 3 aliamua kumuacha fidia ya dola 1.7 billion, uliamulua na dola 110 million za keshi kwa ajili ya usumbufu zilitolewa hapo hapo baada ya kesi
Jimena ebu jitahid tusifike huku sasa, hii hataree
Jimena ebu jitahid tusifike huku sasa, hii hataree