Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Poa kakaNiajez kapukuz??
Unapotea sana
Poa kakaNiajez kapukuz??
Uko vizuri kijanaOkey wakuuu
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza
Kama kawa kama dawa
Nawakubali wote humu
Adious ami gooouw
Studion nawaacha kina bitoz waendelee hapa
Km vp oa mbuzi hawezi kudai mali zako
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
..........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatari.. Mpaka unaogopa kuoa sasa, kijumba chenyewe cha urithi kipo lubambawe huko, talaka ikipita pasu kwa pasu.. Noumah
Asante sana mkuu szczesnyOkey wakuuu
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza
Kama kawa kama dawa
Nawakubali wote humu
Adious ami gooouw
Studion nawaacha kina bitoz waendelee hapa
Nipo bro, majukumu tu!!Poa kaka
Unapotea sana
Heshima kwako mkubwa na wanaeUko vizuri kijana
Asante mkuu ike segment yako ni safiiiAsante sana mkuu szczesny
Pole sanaaaNipo bro, majukumu tu!!
Ndo hivyo bro lakin Mungu hachoki kutupiganiaPole sanaaa
Na ujukum huo
Na kwako pia kaka, jana nlisoma zile top ten zako sema nlipita late sana nkaona nipite kimyakimya tu mana wote mlikua mshalalaHeshima kwako mkubwa na wanae
Umeshindaje kaka?Hahahaaa kweli Mungu hatakaaa awe jambilo au hata szczesny[emoji106]
Hamna shida najua mambo ni mengi, tuko pamoja tyu mkuluNa kwako pia kaka, jana nlisoma zile top ten zako sema nlipita late sana nkaona nipite kimyakimya tu mana wote mlikua mshalala
Kabisa tuisongeshe makapukuAsante mkuu ike segment yako ni safiii
Eeeh ndo tuendelee hvo hvooo
Pamoja sanaHamna shida najua mambo ni mengi, tuko pamoja tyu mkulu
Ukipata tym najua upo sana tuu
Mkuu namba tatu na mbili jina na figure imejirudia hebu check.Hamna shida najua mambo ni mengi, tuko pamoja tyu mkulu
Ukipata tym najua upo sana tuu
Hamna shida najua mambo ni mengi, tuko pamoja tyu mkulu
Ukipata tym najua upo sana tuu
Hii komeshaNumber 5, Mel na Robyn Gibson – USD 425 million
hii ndiyo talaka yenye gharama kubwa huko Hollywood, baada tu ya mel kukubali kwamba ana mtoto na muimbaji wa ki rusi aitwaye Oksana Grigorieva. Mkewe hakusita kufuta ndoa yao ya miaka 28, kwa kuwa hawakukubakina mahakamani, ilibidi wagawane mali nusu kwa nusu, na walipo enda kumalizia kesi mahakamini![]()
Mel aliamuliwa kutoa nusu kwa nusu mpaka kwenye movie ambazo alikuwa haja zitoa lakini ali rekod akuwa kwenye ndoa, na dola zaid ya 750,000 kila mwaka kwaajili ya malezi ya mtoto
Kugawana makabati tu maana hamna namna sasaHatari.. Mpaka unaogopa kuoa sasa, kijumba chenyewe cha urithi kipo lubambawe huko, talaka ikipita pasu kwa pasu.. Noumah
Hahahahahaha kweli ikifikia hapa ni HatariNumber 1, Rupert na Anna Murdoch – $1.7 billion
Rupert Murdoch alirithi makampuni ya habari kutoja kwa baba yake mbamo 1952. Kama vile Twentieth Century Fox, Harper Collins, The Wall Street Journal, na kamouni nyingine za media. Alimuia Anna Maria Torv mnamo1967 na mwaka 1999. Baada ya miaka 32 ya ndoa na watoto wa 3 aliamua kumuacha fidia ya dola 1.7 billion, uliamulua na dola 110 million za keshi kwa ajili ya usumbufu zilitolewa hapo hapo baada ya kesi![]()
Jimena ebu jitahid tusifike huku sasa, hii hataree
[emoji115]Number 2, Bernie na Slavica Ecclestone – $1.2 billion
huyu jamaa ana miliki vitu vifuatavyo Formula One Management, Formula One Administration, na ni part-owner of Alpha Prema, kamouni mama ya the Formula One Group of Companies. Bernie na Slavica Ecclestone walioana mwaka 1984![]()
Lakin sku moja Slvica aliamka tuu na kusepa na watoto wake pia akenda kudai talaka, wana sema yeye alitaka pesa zaid ya hizo, sijui alitaka afanye talaka kama mgodi!!!!
Ila ndo hivo now ana kula bata tuu na mabilioni ya talaka hayo
Number 3, Bernie na Slavica Ecclestone – USD 1.2 billion
![]()
Hawa hata sjui kiliwapata nini yaan
Shida tupuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu hawa ni walatino...Number 3, Bernie na Slavica Ecclestone – USD 1.2 billion
![]()
Hawa hata sjui kiliwapata nini yaan
Shida tupuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]