Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Hongera kwa ubunifuAsanteni tutaendelea tena kesho
Tunahitaji vichwa vyenye faida km ww
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
........
..........
Hongera kwa ubunifuAsanteni tutaendelea tena kesho
Nakaa tu chiniUkiweza kukaa ndio unapata kazi[emoji15]
[emoji85]Chikupendi[emoji17]
Acha bhanaKaka baya huyo[emoji19]
Pia alikoswa kuuliwa mwaka 1981 nadhani, baada ya kupigwa risasi iliyovunja mbavu zake na kusababisha kuvuja damu nyingi sana ndani kwa ndani.Kama huwezi kuwafanya mwanga, wafanye wahisi joto lake. Maneno haya yaliwahi kutamkwa na Rais wa 40 wa Marekani, ambaye pia alikuwa muigizaji, Ronald Reagan, alikuwa Rais wa taifa hilo kubwa Duniani Kati ya mwaka 1981 hadi mwaka 1989. Alizaliwa February 23 mwaka 1911 na alifariki Dunia Juni 05,mwaka 2004
Segment nzuri ipe jina ya Nukuu ya leoAsanteni tutaendelea tena kesho
Asante kwa nyongezaPia alikoswa kuuliwa mwaka 1983 nadhani, baada ya kupigwa risasi iliyovunja mbavu zake na kusababisha kuvuja damu nyingi sana ndani kwa ndani.
Kama si kukimbizwa hospitali iliyokuwa karibu angefariki.
Tokea tukio hilo, kukatokea mageuzi katika gari za Rais wa Marekani ambapo kuna damu ya akiba inayoendana na Rais inahifadhiwa kwenye gari analopanda incase mambo yakiharibika anaongezewa damu fasta.
Pia alikoswa kuuliwa mwaka 1981 nadhani, baada ya kupigwa risasi iliyovunja mbavu zake na kusababisha kuvuja damu nyingi sana ndani kwa ndani.
Kama si kukimbizwa hospitali iliyokuwa karibu angefariki.
Tokea tukio hilo, kukatokea mageuzi katika gari za Rais wa Marekani ambapo kuna damu ya akiba inayoendana na Rais inahifadhiwa kwenye gari analopanda incase mambo yakiharibika anaongezewa damu fasta.
Atakua kakalia nini?atakuwa kakaa tu,siyo kaka
Kakaa ni kiswahili kichafu cha kiarusha..kumbe ni mtu na kakaa
HaswaaSegment nzuri ipe jina ya Nukuu ya leo
NimekuPMSegment nzuri ipe jina ya Nukuu ya leo
Hapo ndo utarudi kwenu na hautoitwa tena[emoji13]Nakaa tu chini
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
.......
Sio mchezoKuifufua Tanganyika ni kuiua Tanzania, sikubaliani kabisa na suala hili, kwa sifa tu na uroho wa madaraka na huku wakishabikiwa na mazuzu. Maneno hayo yalitamkwa na Rais wa kwanza wa Tanzania, baba wa Taifa mwl Julius kambarage nyerere, yeye pamoja na Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani karume, walikuwa waasisi wa Muungano. Alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
Fresh tuHapo ndo utarudi kwenu na hautoitwa tena[emoji13]
Safi mkuuKama huwezi kuwafanya mwanga, wafanye wahisi joto lake. Maneno haya yaliwahi kutamkwa na Rais wa 40 wa Marekani, ambaye pia alikuwa muigizaji, Ronald Reagan, alikuwa Rais wa taifa hilo kubwa Duniani Kati ya mwaka 1981 hadi mwaka 1989. Alizaliwa February 23 mwaka 1911 na alifariki Dunia Juni 05,mwaka 2004
Kuna watu wapowapo tu hawafanyi lolote la maana kuanzia asubuhi hadi usiku per weekSafi mkuu
Umeumiza kichwa hapo
Asante sana kwa nukuu ya leoKama huwezi kuwafanya mwanga, wafanye wahisi joto lake. Maneno haya yaliwahi kutamkwa na Rais wa 40 wa Marekani, ambaye pia alikuwa muigizaji, Ronald Reagan, alikuwa Rais wa taifa hilo kubwa Duniani Kati ya mwaka 1981 hadi mwaka 1989. Alizaliwa February 23 mwaka 1911 na alifariki Dunia Juni 05,mwaka 2004
Watafaa kwa wakati mwafaka tuKuna watu wapowapo tu hawafanyi lolote la maana
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
.......