Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kama huwezi kuwafanya mwanga, wafanye wahisi joto lake. Maneno haya yaliwahi kutamkwa na Rais wa 40 wa Marekani, ambaye pia alikuwa muigizaji, Ronald Reagan, alikuwa Rais wa taifa hilo kubwa Duniani Kati ya mwaka 1981 hadi mwaka 1989. Alizaliwa February 23 mwaka 1911 na alifariki Dunia Juni 05,mwaka 2004
 
Kuifufua Tanganyika ni kuiua Tanzania, sikubaliani kabisa na suala hili, kwa sifa tu na uroho wa madaraka na huku wakishabikiwa na mazuzu. Maneno hayo yalitamkwa na Rais wa kwanza wa Tanzania, baba wa Taifa mwl Julius kambarage nyerere, yeye pamoja na Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani karume, walikuwa waasisi wa Muungano. Alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
 
Back
Top Bottom