Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
KaribuNaona vijana mnakinukisha..
Nami nakinukisha like this![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
KaribuNaona vijana mnakinukisha..
Nami nakinukisha like this![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pia aangalie anapenda nini.... Sasa mfano mtu anashabikia asen8 unategemea ataacha kuwa na stress??Usipende sana,penda kama 60%tu
Shezn sio weweHuu mchezo hautaki hasira
#TeamChile
#TeamGermany
Viva Italy![]()
![]()
![]()

Hahaha...kutesa kwa zamu!!Yeah watachukua namba ya Mussolin5
Unafanyaje kupenda kidogo? Nataka nipende asilimia 10 tuUsipende sana,penda kama 60%tu
Niliwahi kueleza hapa nilivyokuwa naumia nikifungwa, sasa nimeacha japo kuicha yanga kbsakbsa imekuwa ngumu nimebaki mshabiki vuguvuguNataka niachane na ushabiki wa football!!!....napoteza kuliko kugain!!!....litimu likitwaa ubingwa sipati hata sentilikifungwa mood inaharibika
![]()
Jikaze wew ni dume nafurahi umebaki jukwaaniThanks wangu
Hapo umecheza na lugha tu, subirini KICHAPOOO, hata mkiruhusu mashabiki bure!!!Sio mganga wala nini ni numerology tu,

Pia aangalie anapenda nini.... Sasa mfano mtu anashabikia asen8 unategemea ataacha kuwa na stress??
Waaacha!Siku hizi huwa unawahi sana lakin sio mbaya kwakuwa magazeti ni asubuhiMi nilijikuta nimeshaangusha.... Hata sijui nililala tym gani
Kuingia rahisi kutoka ngumuSisi ni wa hapahapa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usihofu watoto wa malkia kesho tu watakuwa LondonRefa maliza MPIRAAAAAA
Nimeamua nimeweza kwa timu moja HAKIKA nitaweza!!!Niliwahi kueleza hapa nilivyokuwa naumia nikifungwa, sasa nimeacha japo kuicha yanga kbsakbsa imekuwa ngumu nimebaki mshabiki vuguvugu

Hapana mkuu, leo pia ntawahi.. tutafanya hivyo panapo majaaliwaNilimaliza saa 02:15 mkuu japo na leo nina ka kazi kaduchu. Leo twakesha nin mkuu
Mimi niliacha kabisa kushabikia mpira wa kibongo na huwa naona kawaida sanaNiliwahi kueleza hapa nilivyokuwa naumia nikifungwa, sasa nimeacha japo kuicha yanga kbsakbsa imekuwa ngumu nimebaki mshabiki vuguvugu
Nitafurahi kinomiUsihofu watoto wa malkia kesho tu watakuwa London

Dah mapenzi ya mpira ni ya ajabu na yana nguvu balaa, kuna wengine naonaga wanapoteza mpaka appitite au kujiskia kuumwaUnafanyaje kupenda kidogo? Nataka nipende asilimia 10 tu