Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
hahaha...top10 ya keshoTop ten za leo
Loosers wa siku
10. Spain national tema
9. Mussolin5
8. Werrason
7.biglia
6. Argentina national team
5.team messi wote
4.PNC 1
3.leofail Missi
2.leofail Missi
1.leofail Missi
Mimi nipo sana na nitadumu kama ccm![]()
![]()
![]()
Utawafukuza bhana
Aaahasante mkuu!! ile kitu huwa ni asubuhi. Vp top10 leo sikuwepo
Nzuri briz,za kwakoHabari yako shululu?
Jana ulimaliza kile kiporo chako mana nilitingwa sana na usingizi afu nlikua nataman niendelee kuwepoUcjali najua tuko peace, na kautani ni muhim mkuu
Poa tu kaka, maisha yanaendaje?Nzuri briz,za kwako
Aaah
Info mbona nsha ztoa mkuu
Kesho ztakuja vizuri kabsaa
Leo imekuwa ttzo kdogo
Kijana kumbe ushatoka kifungoniNaona vijana mnakinukisha..
Nami nakinukisha like this![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Maisha yanaenda vizuriPoa tu kaka, maisha yanaendaje?