Makapuku Forum

Makapuku Forum

7115543549cbe6162a8af85c45c94e15.jpg
 
Family nami nawashukuru wote kwa ushirikiano hadi kumdondosha mchawi, haikuwa kazi rahisi kama msingenipa ushirikiano.
Jimena kama hutojali naomba utupe update tena..mbarikiwe wote
 
Mi niliacha kabisa kushabikia timu ya Taifa ya Tanzania a.k.a kichwa cha mwenda wazimu, lakini nawasapoti serengeti boys
Ombi plz
Family nami nawashukuru wote kwa ushirikiano hadi kumdondosha mchawi, haikuwa kazi rahisi kama msingenipa ushirikiano.
Jimena kama hutojali naomba utupe update tena..mbarikiwe wote
 
Family nami nawashukuru wote kwa ushirikiano hadi kumdondosha mchawi, haikuwa kazi rahisi kama msingenipa ushirikiano.
Jimena kama hutojali naomba utupe update tena..mbarikiwe wote
Hongera sana kwa kumdondosha mchawi...
Yule jamaa ukishamuweka chini unapumua
Kwa sasa Top 5 imeshikiliwa na Makapuku watupu
Kuna Jimena
Bitoz
youngblood
Th Name
na jambilo
Viva Makapuku
Sasa naomba hadi kufikia mwisho wa mwezi 7 top 20 yote isome Makapuku.... So far waliobaki ambao sio familia hawazidi 5
 
Hongera mkuu, najua hapo hakukuti tena

Asubuhi nlikuona nkasema siyo mda mr Jr ana anguka

Kumbe une muangusha mapeema
Daaah acha tu kanitoa kijasho, aliharibu juzi alipoingia humu alikomba likes zaid ya 200 nami nilikuwa biz nkashindwa kufukuzana naye, nawashukuru wote, sio kwa wema wangu bali kwa upendo na kuchukuliana wakuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom