Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,228
- 39,956
Hongera kwa kutupia ya 62k hongera sanaaa
KwendraaaaaaTop ten za leo
Loosers wa siku
10. Spain national tema
9. Mussolin5
8. Werrason
7.biglia
6. Argentina national team
5.team messi wote
4.PNC 1
3.leofail Missi
2.leofail Missi
1.leofail Missi

Utasubiri sanaaahahaha...top10 ya kesho
1.Yanga
Hebu taja machama yako nikusave![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaan leo mpira umenitendea haki

PleasureYou are welcome mamii.![]()
Mganga aliwaambia wapeleke game j5 CAF wakakataahahaha...top10 ya kesho
1.Yanga

Huu mchezo hautaki hasiraNataka niachane na ushabiki wa football!!!....napoteza kuliko kugain!!!....litimu likitwaa ubingwa sipati hata sentilikifungwa mood inaharibika
![]()

Usipende sana,penda kama 60%tuNataka niachane na ushabiki wa football!!!....napoteza kuliko kugain!!!....litimu likitwaa ubingwa sipati hata sentilikifungwa mood inaharibika
![]()
Ooooooops afadhalihahaha...nilikuwa naonyesha tu kamsisitizo ila sijawahi kuwa upande huo
Refa maliza MPIRAAAAAA![]()
:
![]()
![]()
..........
Umeona bhanaeeh?Hizi top 10![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Miyeyusho sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sio mganga wala nini ni numerology tu,Mganga aliwaambia wapeleke game j5 CAF wakakataa![]()
![]()
Nilimaliza saa 02:15 mkuu japo na leo nina ka kazi kaduchu. Leo twakesha nin mkuuJana ulimaliza kile kiporo chako mana nilitingwa sana na usingizi afu nlikua nataman niendelee kuwepo