Mkuu tunalazimishwa kupotea na Magu ila tunapopata nafsi kama hivi ya kujuliana hali na ndugu zetu, tunaitumia vema nashukuru kukuona ukiwa na afya njema.
Hapana mkuu hakuna alie salama sana hata ninyi mlio nje ya system kilio ni sawa na chetu tu kwani kodi italipwa sasa ajira mpya imezuiwa kidogo, u can feel.