shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Uko sahihi kabisa jambiloHata shetani hapendi kukuona ukifurahi au mkishikamana, kwake ni tatizo.
Hivi hapa tunamuudhi nani?
Tunatumia pesa ya mtu?
Je twawashambulia wengine?
Mwadamu ni kiumbe hatari na wa ajabu sana