Makapuku Forum

Hvi bro wewe kweli ni shabiki hasa wa man u!!?
Numeanza kushabikia Man utd, siku Cantona alipostafu kucheza Man utd. 1997.

Unazi ukakolea zaid baada ya treble season ya 1999.

Nikawa sikosi mechi yoyote ya United toka msimu wa 2003-04. Nimefatilia kwa kina sana mechi nyingi za United msimu kwa msimu mpaka Sir Alex anastaafu.

Baada ya hapo utawala wa Moyes na LvG sijawahi kuwaelewa na hata mechi nimeanza kuangalia kwa kusuasua japo nimebaki loyal na Man Utd na sijawahi kufikiria kuhama klabu, Once a Red always Red.

Najiandaa kurudi kwa kishindo hasa huku mtaani kwangu baada ya appointment ya Jose Mourinho.

Kwa kifupi Mimi ni Man Utd Damu ambaye sijawahi kutetereka hata siku moja. Ila najua una wasiwasi na mimi kuhusu CR7. Kwangu mimi Messi ni bora kuliko Ronaldo. Hivyo yaani.
 

Logo yetu ya zamani kipindi cha Babu Fergie

........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…