Makapuku Forum

Ok nao mnajiona kama ma genius au mnafanya jf kama yenu vile acheni kujitenga jf kuna sub forum nyingi sio iyo makapuku tena ningekuwa admin ninge ifutilia mbali mna haribu utaratibu tu mnaacha kwenda ku post vitu kwenye forum husika
 
Leo katika Historia.

Wamezaliwa wachezaji kadhaa tarehe kama ya leo.

Samir Nasri - Mchezaji wa Man city amezaliwa tarehe kama ya leo miaka 29 iliyopita.

Joel Campbell - Mchezaji wa Arsenal amezaliwa tarehe kama ya leo miaka 24 iliyopita.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…