Nilikumis mkuuEnhe una jingine??? Hilo tumelisikia.... Kama lipo litaje kama halipo haya asante
Hahahaa temana naye atakufa kifo cha kawaida to...natural deathUnatafuta bwana?
Halafu mkaushie tu huyo, usimpe kick wala nini

He is a mbumbumbu
Kwanza hii ni thread siyo forum
Ukiona viherehere wanawashwa na vijambio ujue tupo juu zaidi yao na wanatafuta sifa kupitia mgongo wetu
IGNORE THEM
![]()
.............

basi sawaHahahaa temana naye atakufa kifo cha kawaida to...natural death
Sijaenda huu sijui ni mwaka wa ngapiHuku kwema pia! Leo umeenda kanisani?

duuh!! njoo ufanyiwe maombiSijaenda huu sijui ni mwaka wa ngapi![]()
![]()
![]()
Nimeamka salama,wewe jeMorning bablai, umeamkaje?
Safibasi sawa
Maombi gani??duuh!! njoo ufanyiwe maombi