Number 1,
Hawa wanaishi huko kwenye kisiwa kati ya India na Thailand
Wao hawajulikani maisha yao kwan hakuna aliye wahi kuwasogelea alaf mshale wa sumu uka mkosa, wameish zaid ya miaka 60,000 hapo hapo kwenye kisiwa
Picha hiyo walipgwa mwaka 2004 wakati wa tsunami na waligoma kutoka na bado wali survive
Inadhaniwa wanaish kwa kuvua samaki, kuwinda na pengne kulima
Ni moja ya watu ambao hawajawahi kumuhifadhi hai mgeni wao yyte
Hivo hawa ndo watu walio jitenga zaid kuliko woote