Makapuku Forum

Fanya uchunguzi kama una nia ya kurudiana nae ndo ufanye maamuzi. Nafsi inahitaji nini, ndo kitu cha kufikiria. Pole sana braza.
 
Kuna mawili

Ukimwacha ulo naye now ni kama humtendei haki, ila pia kama humpendi utakuwa ume msaidia sana, ni ngum kukaa na mtu alaf madhan mtajifunza kupendana mbele huwa ni shda tuu


Unaweza ku mrudia huyo umpendaye kwa that, ila historia inaonesha watu wengi wenye tabia ya kuchana na kurudiana mzunguko huwa hivo hvo mpka mmoja aamue kuacha kwa ujumla, lakin ni vzuri kwa upande mwngne kwani ni mtu unaye mpenda, kupendwa na anaye kupenda ni raha pia

So hapo piga mahesab alaf amua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…