Makapuku Forum

Sema shida braza.
Kama tulivyojifunza kupitia maandiko ya kwenye khanga na misemo yya kiswahili kwamba kila shehtan na mbuyu wake basi iltokea shehtani mimi nilikutana na mbuyu wangu of whom tulipendana hadi nikasema poo! Ila nahisi kuna pepo wa aina yake alipita yapata miezi kumi na moja sasa bila maelewano na kufupisha mambo nikaamua niache mambo yajiendee tu!....nikatafuta mnyonge mwenzangu tukaamua tuendelee tu kushikilia vijiti huenda tukapendana mbele kwa mbele...sasa likizo ya bila upendo ya mbuyu wangu imeisha na anataka kurudi! Ushauri, nimpokee ama nimpotezee ikizinggatiwa kwamba moyo wangu tayari upo kwenye kipindi cha mpito kujaribu kumpenda wa majaribio?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…