Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Ukiwasha anza kwanza SETTING ....fuata maelekezoYaan nilizima na kuwasha simu kama mara nna hivi. Nitafanya kama ulivyonielekeza.
Hahahahaaa...
MamboShem lizzie natambua uwepo wako
Sawa kakaUkiwasha anza kwanza SETTING ....fuata maelekezo
.........
Kwanini hutumii application??Ni kweli kabisa maana mobile version haioneshi post number hahahaaa...
Maana hamna namna sasaWapigwe tu
Hahahahaaa.... Swali gumu hiloo!!!Kwanini hutumii application??
Mambo??Nipo, app ya jf ilikuwa inanigomea kufunguka.
Powaa my wiiMambo??
Hata mimi nimezielewa nywele zakeHuyu wa pili nimependa
Sawa bitoz matelephoneUkiwasha anza kwanza SETTING ....fuata maelekezo
.........
Ndo maana yake.Nguo kuchanika
HayaHahahahaaa.... Swali gumu hiloo!!!
Ntakujibu next time.
Tuko kamili gadoHabari ya muda huu wakuu,natumai mko poa kabisa.
Nitajaribu kufuga!Hata mimi nimezielewa nywele zake