Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Wapigwe tu
Wapigwe tu
Hahahaaa....Shiiii...usimwambie mtu..![]()
huyu ngweno anapostigi vitu vya kuchekesha na kushangazaDiuh umepotea sana![]()
![]()
huyu ngweno anapostigi vitu vya kuchekesha na kushangaza
Nipo, app ya jf ilikuwa inanigomea kufunguka.Diuh umepotea sana
![]()
![]()
![]()
......
Natoka kidogo.. ila nikirudi lazima jukwaa liwake moto.. coz leo niko free

Habari ya safari mkuuHii ni USA Baby... Cherokee D'As.s...Enzi zileeee!
Bado tunakomaa mule mule.Tumethubutu mbali na vikwazo vya hapa na pale
Tunaelekea Serengeti au wapi??Tunazidi kuchanja mbuga!
....Hahahahahaha nimekumbuka mbali sanaaaa
Ht mmNipo, app ya jf ilikuwa inanigomea kufunguka.
Hatoki mtu hapaBado tunakomaa mule mule.
Nimeuona shemdarling, hadi nikakutamania ghafla atii.Asanteee
Natumaini umeuoenda muonekano mpya
Rock dread
Yaan nilizima na kuwasha simu kama mara nna hivi. Nitafanya kama ulivyonielekeza.Ht mm
Uwe unaenda SETTING kwenye MANAGE APPS unaclear DATA & CACHE app ya JF ikigoma tena ZIMA SIMU halafu Fanya tena km ni live ok kelele za
Ndo mm ninavyofanya
............
Huyu wa pili nimependa