Makapuku Forum

Wakuu nimewaza saana na kutafuta kosa langu lakini hadi sasa silioni, labda mnifungue akili.
LAKINI nimeitwa Kifaru Yaani mjinga, zoba, mshamba na mtu anaitwa BITOZ.
Ameniuliza Hivi mimi ni mtu mzima Kweli? Mbona ninafanya mambo yakijinga!!!??
Nimejiuliiza,
Hivi niko jukwaa gani? Jibu ni chit chat..Yaani jukwaa lisilo na lengo mahususi, utani unaweza kuwepo nk Lakini nisiudhi au kudhalilisha mtu.
Nilichokifanya nimekuwa nikitaniana na Patience123 ambaye kimsingi ni rafiki yangu ndani na nje ya kapuku tena utani kwa ridhaa yake na yangu. Lakini yeye na mpambe wake Boris wanaudhika, nimewakosea nini ktkt hili?
Bitoz unataka kujifanya tulia akson kwa social forums za watu!
Kosa liko wapi?
Linamo pia nimemtania.
Kwa ridhaa yake mwenyewe
Kosa liko wapi?
Je! Patience au linamo wamelalamika?
Kama wamelalamika kwa Bitoz..walishindwaje kuniambia ilihali twawasiliana nje ya jukwaa?
Nimesikitika sana kwa mtu kuthubuti kujiita kiongozi halafu akapungukiwa na hekima, busara na maarifa mara litokeapo tatizo.
Kimsingi sijapokea malamiko au onyo hivyo ni uongo kudai nimeonywa.
Hivi unawezaje kujiita rais kwenye mtandao wenye wenyewe?
Hivi unawezaje kuwachagulia watu kitu cha kusema?
Namjua vyema aliyekuja pm nimepata mashaka na uwezo wake kiakili.

Napata taabu na uwezo wa kufikiri wa Bitoz
Napata mashaka na uelekeo wa makapuku

Je makapuku ni watumwa wa fikra wa Bitoz?.
Hapana bali anataka heshima, aogopwe, atambuliwe kama mmiliki wa makapuku.

Ninakutangazia sikuogopi na sitakaa nikuogope.

Pia hapa sitoki niko tayari kufungiwa ikibidi kwani siishi kwa kutegemea kapuku au jf bali niko kwa ajili kufurahiana na jamaa na Marafiki

Jitafakari kijana, umewakimbiza wengi sana but mimi nooooo


Inabidi wapewe semina... Maaana unaweza kuta mtu maarufu mjuaji alafu hajui maaana Yake...

Shame...

Yaishie huko huko....ukiyaleta humu utaleta mgongano....na ugomvi....

Kama mtu anaona sio vema kusema hapa....then usilete hapa Haata nucta.
Kama kuna mtu analalamikiwa pm kamueleze pm huko...

Ukiamua kuleta hapa Basi leta full issue tujadili....

Kwa Hiyo akiwa mbishi ndio aitwe kifaru??? Aghhhhrrr....busara wapi???

Kaharibuje??? Tuambie.

Umekomalia hilo neno tu
.............

Ila wakuu mnajua maana ya ChitChat

 
Sawa bhana
Rudi nyuma hukouelewe siyo kuleta maneno mengi
.....................
 
Number 8, Edward Niño Hernández - 27 inches


Huyu yeye yuko Colombia alizaliwa akiwa na nchi 15 na mwisho wake kurefuka ikiuwa ni mwka 1988 alipo kuwa ana miaka mi 2, aliacha shule kwani ana ugonjwa unao itwa cataracts unao sumbua uono wake pia kwa kuwa ana vidole vidogo hushinwa kuandika

Lakin amedai ana mpenzi wake mwnyw miaka 18 na ana moenda kweli kweli

Number 7, Bridgette Jordan - 27 inches


Yuko illinois, yeye ana kaka yake ambaye ana nch 38 na hupenda u cheer leader na hupenda mitindo ni mwana funzi wa Illinois University
Ana ttzo la Majewski osteodysplastic primordial dwarfism type II, ambayo ni aina adimu ya primordial dwarfism, udwafu ambao humpata mtu mmoja kati ya million tatu

Number6, Lin Yü-chih - 26.6 inches


Ni kijana wa Taiwan alizaliwa mwaka 1972, hakujiona ana ttzo mpaka alipo fika huko taipei na kuhudhuria kongamano moja, hapo alijigundua kuwa ana umwa ostagenosis imperfecta, ni mwandish wa vitabu pia mwana harakati huko Taipe, ila mwenye husema anajionaga yukp furesh tuu kama watu wengine

Ugumu wa mifupa yake unakadiriwa kuwa sawa na ugumu wa mifupa ya kinyoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…