Hhahah Dada ndiyo maana nimekuambia nimekumiss mno...Ila nashukuru pia kwa nasaha zako..Na pia kwa busara za wifi yako amenisamehe kabisa kama nilivyo,,,Nampenda sana na nime-behave mno toka mida ile..
Wii nilishatoka Singida nikaenda Arusha,Nikaenda Machame nikaenda Karatu nkashuka ngorongoro,juzi usiku nikaenda Dar Jana usiku nimerud Nyanda za Juu Kusini