Makapuku Forum

Yaishie huko huko....ukiyaleta humu utaleta mgongano....na ugomvi....

Kama mtu anaona sio vema kusema hapa....then usilete hapa Haata nucta.
Kama kuna mtu analalamikiwa pm kamueleze pm huko...

Ukiamua kuleta hapa Basi leta full issue tujadili....
Najua matumizi ya PM ambacho hutakiwi ni KUSEMA ULICHOAMBIWA but kusema kuna malalamiko hapo PM siyo tatizo
........
 
Mkuu hapa umekengeuka kabisa nimepata ukakasi sana haswa kwenye maneno yako ya awali hapo ...Ungeweza kutumia namna ingine na ujumbe ungemfikia mlengwa tena kistaarabu sana...Tusikubali kabisa kuvunja undugu na ujamaa tulioujenga kupitia hapa kwani hata members wa hapa KAPUKU tukikutana kwenye majukwaa mengine tunakuwa na ile feeling ya undugu....Na nikushauri kitu Prezda labda hata na mimi kuna mtu nimemkwaza hapa kwa namna moja au nyingine bila mimi kujua mtu huyu kwanza yapasa aniambie mimi hata kwa PM kuwa unanikwaza na sipendi 1,2,3..Akiona sisikii anaweza kureport ishu kwako..Na wewe lazima ukalie kiti na nafasi yako kwa hekima na busara iingia huko PM niambie kuna 1,2 ,3 hakika nitakuwa msikivu maana lengo hapa si kukwazana kwa namna yeyote ile ni kijiwe cha kufanya tucheke tufurahi wakati maisha ya upande mwingine yanaendelea...So please itakuwa vizuri na Member wengine waache uwoga ama unafiki nikikuuzi niambie straight forward tu ili kuepusha mpasuko hapa kijiweni..Naomba nenda PM na Jambilo mwambie 1,2,3 kuwa ni member yupi huyo amelalamika then mmalize na maisha yaendelee kama kawa ida hapa..
 
Sawa mkuu km nilikosea neno sehemu umenirekebisha
Ni fresh tu
Usijali bado kidogo tunamaliza mizozano
.........
 
Usiandike maneno mengi sijasema namiliki uzi mkuu wote ni familia moja na nawapenda wote na mimi sio MUNGU .....mtu anaharibu namweleweaha na akijerekebisha maisha yanasonga
Mwambie basi ajitetee
.........
Ulimuambia pm au hapa.???
Kaama ni hapa assume hajaona hebu tuambie na sisi tujue...

What is wrong with patience??? Kwa vile patience anachat na jambilo na sumbai probably we're part of it speak openly....bro...

Kuwa mpole sema
 
Ulimuambia pm au hapa.???
Kaama ni hapa assume hajaona hebu tuambie na sisi tujue...

What is wrong with patience??? Kwa vile patience anachat na jambilo na sumbai probably we're part of it speak openly....bro...

Kuwa mpole sema
Mkuu simwongelei Patience wala mtu mwingine
Namwongelea yy tu na nataka tu awe mtu poa na siyo mtu kero
.........
 
Ameen.....nimekuelewa saana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…